App ya kutrack simu ili kujua location

App ya kutrack simu ili kujua location

Siachi hela

Senior Member
Joined
Jun 17, 2022
Posts
136
Reaction score
248
Habari ndugu wana jukwaa, Ninaomba kwa anayefahamu app yoyote (iwe ya kulipia au isiyo) inayoweza weza kunisaidia kutrack namba ya simu ili kufahamu iko mahali gani na pia kuniwezesha kuifikia moja kwa moja mahali ilipo.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Mfano, mi kuna jamaa
Hamna bana hizo app ni mahsus kwa wanaogongewa.

Countrywide
😅😅😅😅😅 sio kwel bana, mfano hata mi natafuta app ya kutrack namba ya mtu, Kuna jamaa tunaheshimiana fresh tu anafanya kazi mahali, tena kazi official.. jamaa baada ya mazoe ya mda mrefu akanambia amekwama kama 300k hiv anaomba nimsave af atarudisha ndani ya wiki,
 
Kuna programu nyingi ambazo zinaweza kukuwezesha kutafuta mahali ulipo kwa kutumia GPS uliopo kwenye simu yako. Programu hizi zinajulikana kama "GPS tracking apps" au "Phone tracking apps." Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba unaweza tu kutafuta mahali ulipo ikiwa GPS ulioko kwenye simu yako uko wazi na unatumika.

Kwa kawaida, programu hizi huwa zinapatikana kwenye duka la programu za simu yako, kama vile App Store kwa watumiaji wa iPhone na Google Play kwa watumiaji wa Android. Unaweza kutafuta programu kama "Find My Phone" au "GPS Tracker" ili kusaidia kupata simu yako ikiwa imepotea.

Ni muhimu kukumbuka kwamba programu hizi zinahitaji idhini yako kabla ya kufanya kazi na kwamba unaweza kuzima GPS kwenye simu yako ili kuzuia wengine kufuatilia mahali ulipo. Pia ni muhimu kuwa makini na programu zisizoaminika ambazo zinaweza kuwa na nia mbaya ya kuvunja faragha yako.

As usual


----------------------------


Source: ChatGPT
 
Mfano, mi kuna jamaa

😅😅😅😅😅 sio kwel bana, mfano hata mi natafuta app ya kutrack namba ya mtu, Kuna jamaa tunaheshimiana fresh tu anafanya kazi mahali, tena kazi official.. jamaa baada ya mazoe ya mda mrefu akanambia amekwama kama 300k hiv anaomba nimsave af atarudisha ndani ya wiki,
Kuhusu kudaiana haiendani na hizo app. Sababu kubwa za hizo app kuanzishwa ni kukithiri kwa watu kuchapiwa. Hali hii ikawafanya watengeneza hizo app ambao pia ni wahanga watafute mwarubaini. Kugongewa siyo mchezo inauma hadi inapelekea ubunifu.

Countrywide
 
Kuhusu kudaiana haindani na hizo app. Sababu kubwa za hizo app kuanzisha ni kukithiri kwa watu kuchapiwa. Hali hii ikawafanya watengeneza hizo app ambao pia ni wahanga watafute mwarubainu. Kugongewa siyo mchezo inauma hadi inapelekea ubunifu.

Countrywide
Sasa kutafuta ukweli ndo kunauma zaidi, bora upotezee dunia ishachafuka saiz huez pata mwarobaini wa kupona kupigiwa
 
Mi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake hapo utawwza kuona kila anakoenda kama unajua kusoma ramani.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake
 
Mi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake
Elezea kwa undani mkuu wengi ni wahanga hapa.
 
Hizi huduma huwezi pata bure zipo app kibao andaa kuanzia 60k. Asikudanganye mtu kama ni mpenzi wako unamalengo naye mkague ujue tabia yake.
 
Mi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake hapo utawwza kuona kila anakoenda kama unajua kusoma ramani.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake

Kuna app hizo unaweka namba ya simu tu mzigo wote unakuwa unatumiwa
 
Back
Top Bottom