App ya kupima ardhi

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,003
Reaction score
5,969
Naombeni msaada kwa wajuvi.
Kuna namna mtu anaweza jua ukubwa wa shamba kwa kutumia simu yake?
 
Nilielekezwa FieldCalc, na kiukweli ilinisaidia. Accuracy yake haiwezi kuwa kama GPS yenyewe, ila angalau unajiridhisha kwa kiwango kikubwa na data unazotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…