monroe100
Member
- Jan 3, 2015
- 38
- 7
Habar wakuu
natumia android ipo rooted.. nisaidie app ambayo naweza kuedit picha in high quality.. yaan iwe imesimama zile picha za wasanii jinc zilivyo.. kuondoa background na kuweka utakavyo..
Natumia android sina laptop ndo maana naitaji apps hiyo kwa android
Asante