App ya ku-sign document kwenye simu

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,096
Heshima kwenu wakuu.

Naomba msaada wa app ambayo inaweza ku-sign PDF kwa kutumia simu wakuu. Nilikuwa natumia Adobe Auto Fill ila tatizo sijaona option ya kubadilika rangi iwe ya blue ionekane kama vile ni pen halisi ime-sign. Nikasema humu jamvini kunaweza kuwa na watu wanaotumia app ya aina hiyo naomba mnisaidie wakuu.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Nafikiri unaweza weka sahihi yako kwenye Pepa nyeupe kwa kutumia blue pen Kisha scan hiyo sahihi yako then jaribu kuifanya iwe transparent image ikiwa png itapendeza Kisha utakuwa una apply kwenye PDF zako.

Kwani Adobe inasupport black sign.
Au jaribu hii app
Ila Kama utakuwa na simu zenye pen itakuwa vizuri zaidi sio kidole
 

Kwa nini sio kidole kiongozi...?
 
Kidole chako kimechongoka Kama ballpoint pen au la! Kama ndio basi tumia.

Kwani haina option ya kupunguza size ya signature mkuu...? Kwa kidole hai-support kabisa au ina-support lakini itaonekana nene kidogo...?
 
Kwani haina option ya kupunguza size ya signature mkuu...? Kwa kidole hai-support kabisa au ina-support lakini itaonekana nene kidogo...?
ipo ila sio perfect kihivyo hata blue color haiko poa jaribu method one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…