App ya JF kwaajili ya windows phones

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,270
Reaction score
1,111
Habari za mchana huu wanajamii. leo nimekuja na hii hoja ya kuwa napenda kuwauliza apps developers wa humu ndani kuwa kumekuwa na apps kwaajili ya OS mbalimbali kama vile iOS, BB OS na Android.
Mie nikiwa ni mtumiaji wa Android App upande wa JF kweli nimeinjoi sana maisha na hii app kwa kunifanya niwe updated almost 24/7. Hongera kwa developers wote.
Hivi karibuni nataka kuhamia windows 8 OS (mie low budget user frankly speaking) kutoka Android low budget user za kina samsung na huawei .
Kikubwa nitakachokimiss ni hii app ya forum yangu pendwa. Hapa ndio napenda kuuliza kuwa kwanini hakuna app ya Windows phones ya JF?
Cc; CHIEF MKWAWA, Young Master, Watu 8, Waheed Suday na wengineo.
karibuni sana
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nasubiri majibu ya swali hili...
 
hilo swali muulize invisible sababu tapatalk ipo kwenye wp kazi imebaki kwao tu.

mimi app yangu ya tapatalk napata feed tu za jf sababu niliwah tumia app ya android kwa account yangu ya tapatalk ila siwezi kubrowse forum
 
Natumia tapatalk tena yenyewe nililazimisha kipindi kile cha mwanzoni kabla jf haijapotea kwenye tapatalk.

Kuhusu app, utasubiri sana.

Nimeikimbia WP kwa ajili ya hii app, nimeona bora niende kwenye iphone ambapo ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…