angalia mwenyewe unayoipenda, zipo sawa tu.
Chief naomba unisaidie app ya kuhack game kwa unroot device apart from lucky patcher....msaada plz
Huwezi kuhack kwa simu isiyokuwa na root access sababu saved file za games zipo katika mafolder ya root.
Hapo solution ni kudownload game ambalo lishahakiwa ili uki install liingie na cheat zake
je nawezaje kuhack simu yangu kwa njia ambayo siyo complicated kwa sabanu m sio mjuz sana wa hayo mamb ya kuroot...natmia tecno h5
Kaka hata ukiroot vitu huko mbele havitakuwa virahisi. Ni vyema tu ukaiacha simu bila root.
Jifunze kudownload vitu out of playstore utapata games nyingi tu ambazo zimeshachakachuliwa
Kaka hata ukiroot vitu huko mbele havitakuwa virahisi. Ni vyema tu ukaiacha simu bila root.
Jifunze kudownload vitu out of playstore utapata games nyingi tu ambazo zimeshachakachuliwa
Nilikua nataka nihack game la WARSHIP BATTLE km una link ya kulidownload lililochakachuliwa ninaomba tafadhal
hapana sio hlo...lenyewe linaitwa WARSHIP BATTLE devloper wake ni joycity corp wale wa gunship battle
Chief nimedownload lkn mbona halijachakachuliwa
Site niliyolipata anaclaim limechakachuliwa, umejaribu kununua kitu?
Kabla ya kueka ulitoa la mwanzo kwanza au uliekea juu kwa juu?
nilitoa la mwanzo ndo nikaweka hlo na nikajarbu kununua gold ikagoma
Una gold ngapi? Usinunue gold, tumia gold uone zinapungua? Au zipo nyingi kiasi gani?
Una gold ngapi? Usinunue gold, tumia gold uone zinapungua? Au zipo nyingi kiasi gani?