Nashukuru kwa huo ufafanuzi Chief.
Ila kwafaida ya wote tafadhali ufafanuzi basi namna ya kudownload video ikiwa ktk hizo format moja kwa moja.
Tumia torrent, mfano nenda kat.cr halafu search movie yako lets say terminator
Ukisearch andika terminator avi then result zitakuja format ya avi
Au unaweza ukasearch termunator tu bila avi halafu ukakagua result kuona ipi ni format inayokufaa.
Chief-Mkwawa hivi App ya bittorrent na utorrent za android tofauti yake ni nini maana nikiziangalia zinafana tu.Kuconvert movie na simu itachukua masaa, halafu movie ukiileta kwenye mpeg inakuwa kubwa zaidi hivyo uwe na storage ya kutosha.
Solution nzuri ni kudownload movie ikiwa katika avi format tayari au mpeg.
angalia mwenyewe unayoipenda, zipo sawa tu.Chief-Mkwawa hivi App ya bittorrent na utorrent za android tofauti yake ni nini maana nikiziangalia zinafana tu.
Na ipi ni the best ili nipige chini moja wapo.
Tumia tubemate
Nilisha jaribu format kadhaa za mp4 ikazingua uki play inaleta ujumbe unsurpoted format.Mbona dek nyingi zinaplay mp4 download hata from youtube mp4 zinapatikana ambazozitaplay au download toka wapstan. Info zenye resolution ya 720 ni HD sana.