apologize JF-Expert Member Joined Jul 22, 2015 Posts 709 Reaction score 570 Jul 30, 2016 #1 Habari wakuu, naomba kufahamu Kama kuna app ya kublock call, ambayo akipiga simu isipatikane kabisa na Siyo itoe notification ya kwamba simu inatumika Kama app Zingine zinavyofanya.
Habari wakuu, naomba kufahamu Kama kuna app ya kublock call, ambayo akipiga simu isipatikane kabisa na Siyo itoe notification ya kwamba simu inatumika Kama app Zingine zinavyofanya.
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Jul 30, 2016 #2 Hiyo App ya Kumwambia Haipatikani sijui kama Ipo Ila Jaribu hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Block call and block SMS - Android Apps on Google Play
Hiyo App ya Kumwambia Haipatikani sijui kama Ipo Ila Jaribu hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Block call and block SMS - Android Apps on Google Play
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Jul 30, 2016 #3 Easy block