T Thani Juma Member Joined Mar 25, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Apr 6, 2015 #1 Msaada ndugu zangu..kwa nn nikiingiza App kwenye google inasema application not installed na kujiweka x ila inajiweka kwenye download
Msaada ndugu zangu..kwa nn nikiingiza App kwenye google inasema application not installed na kujiweka x ila inajiweka kwenye download
Wizzy the Principle Member Joined Jan 11, 2014 Posts 63 Reaction score 3 Apr 6, 2015 #2 Inamaanisha Version ya hyo App ni tofauti na Version ya hyo cm yako ndo maana inajiandika hvyo mi mfano ukiwa unatumia Tecno m3 ukataka kuipakua whatsapp plus ukidownload utaambiwa hvyo **App not installed
Inamaanisha Version ya hyo App ni tofauti na Version ya hyo cm yako ndo maana inajiandika hvyo mi mfano ukiwa unatumia Tecno m3 ukataka kuipakua whatsapp plus ukidownload utaambiwa hvyo **App not installed