Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,602 Reaction score 14,393 Jun 20, 2019 #1 Wakuu! Tafadhar mwenye kuijua App lock nzuri isiwe na matangazo. Msaada jaman
Bujoro JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,278 Jun 21, 2019 #2 Chukua kitu cha phonemaster hii app iko poa sana inafanya kazi nyingi kwenye cm yako ina lock app zako, kuscan, kusafisha cm yako na kifanya iwe nyepes na speed, kufreez app zako,
Chukua kitu cha phonemaster hii app iko poa sana inafanya kazi nyingi kwenye cm yako ina lock app zako, kuscan, kusafisha cm yako na kifanya iwe nyepes na speed, kufreez app zako,