Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.
Habari zenu wana jukwaa Nilikuwa nauliza kama kuna apps zinazoweza kumfanya mtumiaji wa smartphone akawasiliana na mtu mwenye simu ndogo za kawaida kwa njia ya SMS kwa kutumia data tu.
Hapo unaongelea app inayotumia SMS gateways na API's kama Clickatell (mfano apps kama WhatsApp zinapotuma verification message kuverify phone number yako)
Huu mfumo wa kutuma SMS kwa Internet upo. Kwahiyo nadhani kutakuwa na app ya kufanya hivyo ila naamini itakuwa ya kulipia.
Ila kutuma na kupokea (two way messaging) una special requirements na costs lakini inawezekana kuna apps zilizoimplement tayari.
Bila kusahau, such an app can be created upon request.