App ambayo inabadili mwandiko wa simu

App ambayo inabadili mwandiko wa simu

Sizani kama app hiyo ipo. Mara nyingi hua naona dizaid hiyo kwenye samsung, ngoja wataalamu wa mambo waje pia naweza pata faida
 
1.root hio simu yao(naamin ni android)
2. Alaf cheki app za kubadilisha fonts kama system font.. N.k
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Tafuta Hi fonts kuna miandiko mia kidogo humu ww tu ns roho yako
 
Utakae mwandikia huo ujumbe atasoma huo mwandiko wako?
 
Tahadhari, kuiroot sim sio kazi rahisi ni kama kuifanyia oppresion sim. Ukikosea step 1 inazimika na haiwaki tena.
 
Back
Top Bottom