Aponea kifo kwenye gurudumu la ndege

Aponea kifo kwenye gurudumu la ndege

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,097
Reaction score
34,913
140421101917_hawaii_stowaway_512x288_bbc_nocredit.jpg

Karibu robo ya watu wote wanaosafiri wakiwa wamejificha katika gurudumu la ndege hufariki

Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 16 amenusurika kifo kwa maajabu baada ya kujificha na kusafiri katika gurudumu la ndege iliyokuwa ikielekea mjini Carlifornia kutoka Hawaii nchini Marekani.

Safari hiyo ilidumu kwa saa 5.

Hali yake inadaiwa kuwa shwari licha ya vipimo vya juu vya baridi baada ya ndege hiyo kusafiri juu ya bahari ya Pacifiki kwa saa tano.

Msemaji wa shirika la ndege la Hawaii, alisema kuwa wafanyakazi wa shirika hilo walimuona kijana huyo baada ya ndege kutua Jumapili asubuhi.

Alihojiwa na FBI na kupewa huduma ya dharura huku wauguzi wakisema afya yake iko shwari.

Mvulana huyo anasemekana kutoroka nyumbani na kuruka ukuta katika uwanja wa San Jose ili kuweza kusafiri kwa ndege hiyo.

''Wasiwasi wetu mkubwa ni hali hali yake ya kiafya, alibahatika sana kuwa hai baada ya kusafiri chini ya gurudumu la ndege kwa saa tano,'' alisema masemaji wa shirika hilo la ndege.

"huyu mtoto ana bahati sana kuwa hai,'' aliongeza kusema msemaji wa shirika la FBI.
Inaarifiwa punde tu baada ya ndege kutua, kijana huyo alishuka na kuanza kurandaranda katika uwanja wa ndege.
Kijana huyo alipatikana tu akiwa na kichana mkononi.

Aliponea sana, maana alikosa hewa huku akipigwa na baridi kali ndege ilipokuwa inaruka mita 12,000 juu angani.

Kadhalika kijana huyo anaarifiwa kupoteza fahamu muda wote wa safari. chanzo.BBC
 
Hii habari imeniacha na maswali mengi zaidi kuliko nnavyoweza kushangaa. Kwa ufahamu wangu, hizi ndege kubwa matairi yake huwa yanaingia ndani punde inaporuka juu.

Sasa huyu mtoto alijibanza kwenye tairi lilipojikunja kuingia ndani na bado akafanikiwa kutoka nalo lilipojikunjua wakati wa kushuka baada ya masaa matano hewani?
 
140421101917_hawaii_stowaway_512x288_bbc_nocredit.jpg

Karibu robo ya watu wote wanaosafiri wakiwa wamejificha katika gurudumu la ndege hufariki

Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 16 amenusurika kifo kwa maajabu baada ya kujificha na kusafiri katika gurudumu la ndege iliyokuwa ikielekea mjini Carlifornia kutoka Hawaii nchini Marekani.

Safari hiyo ilidumu kwa saa 5.

Hali yake inadaiwa kuwa shwari licha ya vipimo vya juu vya baridi baada ya ndege hiyo kusafiri juu ya bahari ya Pacifiki kwa saa tano.

Msemaji wa shirika la ndege la Hawaii, alisema kuwa wafanyakazi wa shirika hilo walimuona kijana huyo baada ya ndege kutua Jumapili asubuhi.

Alihojiwa na FBI na kupewa huduma ya dharura huku wauguzi wakisema afya yake iko shwari.

Mvulana huyo anasemekana kutoroka nyumbani na kuruka ukuta katika uwanja wa San Jose ili kuweza kusafiri kwa ndege hiyo.

''Wasiwasi wetu mkubwa ni hali hali yake ya kiafya, alibahatika sana kuwa hai baada ya kusafiri chini ya gurudumu la ndege kwa saa tano,'' alisema masemaji wa shirika hilo la ndege.

"huyu mtoto ana bahati sana kuwa hai,'' aliongeza kusema msemaji wa shirika la FBI.
Inaarifiwa punde tu baada ya ndege kutua, kijana huyo alishuka na kuanza kurandaranda katika uwanja wa ndege.
Kijana huyo alipatikana tu akiwa na kichana mkononi.

Aliponea sana, maana alikosa hewa huku akipigwa na baridi kali ndege ilipokuwa inaruka mita 12,000 juu angani.

Kadhalika kijana huyo anaarifiwa kupoteza fahamu muda wote wa safari. chanzo.BBC
Hiyo ndege ilikuwa inatokea San Jose, California kuelekea Hawaii.
 
[h=1]California police investigating stowaway who reached Hawaii: report[/h]Tue, May 6 2014
By Alex Dobuzinskis
(Reuters) - Police in San Jose, California, plan to interview a 15-year-old boy who gained international attention by surviving as a stowaway on a flight to Hawaii, and are looking into why he snuck into the local airport to climb into a Boeing 767, a police spokesman told a TV station on Tuesday.
The report came as surveillance video surfaced of the boy from Santa Clara, California, climbing down from the wheel well of the Hawaiian Airlines flight after it landed on April 20 in Maui. In the video, played on television news, the boy staggers around the tarmac in what appears to be a disoriented state.
The teenager, who officials say boarded the plane hours earlier at Mineta San Jose International Airport, became one of only a fraction of stowaways to emerge alive after such a treacherous trip.
His journey has raised concerns about airport security, after he remained undetected for hours before the jet took off.
Last week, Hawaii child welfare officials said the boy had left their state, and the San Jose Mercury News has reported he was back in California and in the custody of social services.
A representative for the Santa Clara County social services agency could not be reached for comment on Tuesday.
San Jose police spokesman Albert Morales on Tuesday told San Francisco Bay area television station KNTV, an NBC affiliate, they were investigating the stowaway's actions "at minimum" as a case of trespassing.
"As it stands right now, we are still trying to make attempts to interview the kid to find out what happened, what his thought process was and to conduct a thorough investigation," Morales told the station.
San Jose police last month said city officials were not planning on pursuing criminal charges.
San Jose police representatives did not return calls or emails seeking comment on Tuesday.
The teenager's Somali immigrant father, Abdilahi Yusuf Abdi, told Voice of America last month that his son, whom he identified as Yahya Abdi, had wanted to return home to Africa.
The boy's mother, Ubah Mohamed Abdulle, later spoke to Voice of America from a refugee camp in Ethiopia where she lives, saying she had been separated for years from the boy and her other children and wanted to be reunited with them in the United States.
(Reporting by Alex Dobuzinskis; Editing by Prudence Crowther)
 
Wakati wewe unatumia akili ya darasani wapo watu wanatumia akili za mtaani...
 
Back
Top Bottom