S scorpion girl Senior Member Joined Oct 19, 2012 Posts 173 Reaction score 95 Jan 8, 2013 #21 Mmmmh ndefu mno msamaha kama huu uuongee sio kuuandika unatia uvivu hata lile la muhimu unaweza ukaliruka usilisome duuuuh hope umesamehewa
Mmmmh ndefu mno msamaha kama huu uuongee sio kuuandika unatia uvivu hata lile la muhimu unaweza ukaliruka usilisome duuuuh hope umesamehewa
kyanaKyoMuhaya JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,952 Reaction score 939 Jan 8, 2013 #22 Mwanamalundi said: Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli? Click to expand... mwanamalundi wewe kila thread haikuhusu, unapataje hamu ya kuzisoma?
Mwanamalundi said: Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli? Click to expand... mwanamalundi wewe kila thread haikuhusu, unapataje hamu ya kuzisoma?