Mwenye application form ya Viettel please naomba anitumie manengula@gmail.com maana niliapply enzi zile za egotel na nika-submit kumbe limechukua shirika jingine mimi sikuwa na taarifa. So nahitaji niapply maana jamaa wana nafasi nyingi tu nasikia.
namimi nitumiwe jamani
ndefulo@gmail.com
Download hizo attachment hapo juu
hizo mbona hazina sehemu ya kujaza?! ..........
Hapo kuna moja ina maelezo ya kazi na nyingine ni fomu ya kujaza mkuu
Hapo kuna moja ina maelezo ya kazi na nyingine ni fomu ya kujaza mkuu
Naomba email address ya kutuma mkuu, baada ya kujazaHapo kuna moja ina maelezo ya kazi na nyingine ni fomu ya kujaza mkuu
Mkuu mbona zote ni za maelezo.?
angalia fresh mkuu, pengine umechanganya madesa, zote ni za maelezo! .............