Yeah hapo kwenye maneno ya shombo dogo inabidi aambiwe abadilike kidogo, kinachofanya wacheza mpira wakubalike siyo uwezo wao pekee bali hata nidhamu na namna wanavyowaongelea wengine, ila all in all ana kipaji kikubwa sana mwakani anaweza kubeba makombe yote atakayoshiriki likiwemo wc