Mimi natumia UPS ya Mercury 650W kwenye Radio kubwa ya Sony, TV LED 24" , na decorder ya continental, incase umeme ukikatika , ninazima Radio kwa sababu Radio inakula WATTS 190, hivyo nabakia na TV na decorder na inawaka kwa muda wa dakika 60 (Saa moja).
UPS ni nzuri ila isitumike kwenye Fridge. UPS ina Surge protector pamoja na voltage regulator ambavyo ni salama kwa vifaa vya electronics.