Apartments for Sale in Msasani Kimweri Avenue

Apartments for Sale in Msasani Kimweri Avenue

Ah wee unaenda sehemu za ajabu ajabu njoo hapa black and white
Hapa tunakaa tunaotumia dollar kenge wee..!! 😹😹😹

Unakaa sehemu mara kapita mdada anaomba beer we vipi??

Sasa sikiza nikukute Florida hapo nakuja kula makange ya samaki na kucheza muziki wa live band…!!

Naingia kuoga soon nakuja hapo sawa?? 😹😹
 
Mkuu unapopost tangazo usiwe na haraka pia hakikisha upige picha nzuri sana
 
Asante kwa kunitag, nazijua hizi Apartments, rafiki yangu mmoja alikua anakaa hapa, location ni nzuri. Tatizo zimejengwa kwa low standard na nafasi ni finyu zimebanana sana. Kama mtu ni bachelor au for investment itamfaa.

Binafsi, sipendi apartments ambazo ziko nyingi kwenye jengo moja, kumobilize for maintenance au kukubaliana kufanya chochote kwenye jengo ni kivumbi.
 
Hebu nitafutie nzuri basi.
Si unajua navyokuamini babe.
 
Mnaotumia Uzi wa mtu anayetangaza biashara yake kama kijiwe cha kufanyia mizaha na kupiga soga jaribuni kuwa waungwana na wastaarabu......

Tunaamini JF ni home of great thinkers na well matured people......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom