secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,962
Nilikuwa nakuchokoza tu mkuu.Mimi bado mbichi, nitoe kwenye kundi la mishangazi
Nilikuwa nakuchokoza tu mkuu.Mimi bado mbichi, nitoe kwenye kundi la mishangazi
Sawa ndegeNilikuwa nakuchokoza tu mkuu.
Una miaka mingapi kwani bibie!Sawa ndege
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣A small viewing fee will apply.
AiseeTangazo limevamiwa na kajamba nani wengi sana.
Real Estate industry ya bongo imejaa uhuni mwingi sana. Chumba na sebule kwa zaidi ya 400m ni upuuzi uliokithiri. Hiyo hela ukienda nayo kama Zambia unapata nyumba katikati ya Lusaka.Apartments For Sale in Msasani.
Location: Kimweri Avenue.
Floors available: 1st, 2nd, 3rd, 4th, 6th and 8th floors.
There are 3 sizes;
a) 82 square meters
1 bedroom including sitting room and open kitchen.
Price is USD 170,000.
b) 160 square meters
3 bedrooms including 1 and 2 master bedrooms.
Price is USD 270,000.
c)235 square meters
4 bedrooms including 2 master bedrooms.
Price is USD 400,000.
Installment plan: 3 years.
Down payment is 50%.
VAT and transfer exclusive.
Interest FREE.
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345
@prathlimited
My secret 😊Una miaka mingapi kwani bibie!
Fanya kukomesha huo uhuni mama, tukupe mitano tenaReal Estate industry ya bongo imejaa uhuni mwingi sana. Chumba na sebule kwa zaidi ya 400m ni upuuzi uliokithiri. Hiyo hela ukienda nayo kama Zambia unapata nyumba katikati ya Lusaka.
I love that.My secret 😊
Bei ya kawaida kwa maeneo hayo1 bed, 170,000$ hivi mnaijua 170k$
AU kisa natumia ngazi kufika kwenye hiyo 1bed??
Demand and supplyReal Estate industry ya bongo imejaa uhuni mwingi sana. Chumba na sebule kwa zaidi ya 400m ni upuuzi uliokithiri. Hiyo hela ukienda nayo kama Zambia unapata nyumba katikati ya Lusaka.
Hongera yako, endelea kuomba utapataI love that.
Ni ndoto yangu kuwa na binti mwenye kutunza siri.
Nitapata au nimeshampata?Hongera yako, endelea kuomba utapata
Nesi kungwi huyu anakufaaNitapata au nimeshampata?
Ni wewe!!
Hahaha 😁🤣Nesi kungwi huyu anakufaa
Huyu anatapatapa, kila mtu anampenda.Nesi kungwi huyu anakufaa
Siyo mtu mzuri kabisa huyu kijana 😅😅🙌Huyu anatapatapa, kila mtu anampenda.
Mimi alisema anakuja kwetu kuleta mahari kumbe ni uongo tu 😆
Yeah ni hivyo!!Hahaha 😁🤣
KabisaSiyo mtu mzuri kabisa huyu kijana 😅😅🙌