Apartment mbili zinapangishwa

Apartment mbili zinapangishwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,122
Reaction score
350
Zipo kijitonyama kisiwani karibu na kisiwani Polisi Post au shule ya mama Salma. Kila moja ina vyumba vitatu vya kulala sebure diining jiko na store. Maji masaa 24. kila moja inapangishwa kwa tshs 1,000,000/-.kwa mwezi
Kwa mawasiliano piga simu 0784225000.
 

Attachments

  • DSC08306.JPG
    DSC08306.JPG
    38.3 KB · Views: 99
  • DSC08304.JPG
    DSC08304.JPG
    37.6 KB · Views: 82
  • DSC08303.JPG
    DSC08303.JPG
    34.3 KB · Views: 87
  • DSC08302.JPG
    DSC08302.JPG
    36.1 KB · Views: 84
  • DSC08301.JPG
    DSC08301.JPG
    39 KB · Views: 82
  • DSC08300.JPG
    DSC08300.JPG
    12.5 KB · Views: 88
  • DSC08299.JPG
    DSC08299.JPG
    29.4 KB · Views: 86
  • DSC08298.JPG
    DSC08298.JPG
    37.9 KB · Views: 77
  • DSC08297.JPG
    DSC08297.JPG
    53.5 KB · Views: 68
  • DSC08296.JPG
    DSC08296.JPG
    19.6 KB · Views: 133
  • DSC08295.JPG
    DSC08295.JPG
    25.5 KB · Views: 79
  • DSC08294.JPG
    DSC08294.JPG
    23.8 KB · Views: 82
  • DSC08293.JPG
    DSC08293.JPG
    15.9 KB · Views: 88
  • DSC08291.JPG
    DSC08291.JPG
    24.4 KB · Views: 65
  • DSC08290.JPG
    DSC08290.JPG
    29.7 KB · Views: 74
  • DSC08289.JPG
    DSC08289.JPG
    23.3 KB · Views: 74
  • DSC08288.JPG
    DSC08288.JPG
    53.5 KB · Views: 68
  • DSC08183.JPG
    DSC08183.JPG
    25.8 KB · Views: 64
  • DSC08182.JPG
    DSC08182.JPG
    12.4 KB · Views: 70
  • DSC08179.JPG
    DSC08179.JPG
    30.6 KB · Views: 78
Duh kwa mshahara wangu nitamudu kweli kukaa nyumba kama hii anyways wenye uwezo wenu kwa kweli ni apartment nzuri changamkieni
 
Duh kwa mshahara wangu nitamudu kweli kukaa nyumba kama hii anyways wenye uwezo wenu kwa kweli ni apartment nzuri changamkieni

duh!!! nilidhani nipo peke yangu!!! Tutabakia kuziona tu wengine tukipita barabarani!!!!!!!
 
Just say I can I will I must. Msanii wa kizazi kipya Juma Nature anakwambia kwani wao wanaweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini.
Jipe moyo iko siku na wewe mambo yatakua mazuri. Usikate tamaa. Tengeneza mipango yako. Fanya kazi kwa juhudi na maarifa.Yatibu hayo maradhi ya kusema kwako haiwezekani ila kwa wengine inawezekana. Tumia fursa zilizopo mbele yako kkjiboresha na kuboresha maisha yako.
 
Hivi kwanini nyumba tanzania inakukuwa ghali kupangisha kuliko hata Ulaya au America?Hivi hizi bei wanapanga kwa kutumia vigezo gani?Na je kuna watu wangapi wanaowezo wa kupangisha hizi nyumba?Nadhani tanzania has dar es salaam kuna tatizo mahali kama hizi nyumba watu wanapangisha kirahisi inawezekana kuna pesa ambayo si halali ipo kwenye mzunguko. Watu wengi mishahara yao ni midogo kuweza kulipa milioni moja kwa mwezi kama pango. Kitomai hizo nyumba zinalipiwa kwa mwezi au kwa mwaka?
 
Hivi kwanini nyumba tanzania inakukuwa ghali kupangisha kuliko hata Ulaya au America?Hivi hizi bei wanapanga kwa kutumia vigezo gani?Na je kuna watu wangapi wanaowezo wa kupangisha hizi nyumba?Nadhani tanzania has dar es salaam kuna tatizo mahali kama hizi nyumba watu wanapangisha kirahisi inawezekana kuna pesa ambayo si halali ipo kwenye mzunguko. Watu wengi mishahara yao ni midogo kuweza kulipa milioni moja kwa mwezi kama pango. Kitomai hizo nyumba zinalipiwa kwa mwezi au kwa mwaka?

Demand and supply. Gonga google kujuwa ni nini hicho.
 
Kuna watu wana ishi kwa staili za ajabu sana,kaka mmoja amepanga nyumba ya ndugu yangu cinza toka 1998 na alianza na kodi ya TZS500,000 KWA MWEZI mpaka leo amenogewa hajahama na analipa tzs 900,000 kwa mwezi na hajajenga ingawa hela naona zinamtembelea kwa hiyo kuna watu watailipia hiyo kwa 1m
 
Demand and supply. Gonga google kujuwa ni nini hicho.

Sikubaliani na wewe ndugu majimshindo. Kama demand ingekuwa kubwa tusiongeona matangazo ya hizo nyumba kwenye forum au blogs. siku zote demand ikiwa kubwa kwenye nyumba huwa zinapangishwa kabla hata ujezi wake haujakamilika.Kwa tanzania kutakuwa na sababu zake. kama kuna mtu amefanya utafiti anaweza kutupa dokezo, kuwa na kwanini bei zinakuwa hivyo. Sababu za kupanda bei kitu hazitegemei kwenye demand and supply theory tu, zipo sababu nyingine. ukisoma articles za uchumi utaliona hilo. Pia kama hili bei hazijafanyiwa utafiti nadhani ni eneo nzuri kwa watafiti wa mambo ya uchumi kulifanyia kazi. Hata wanafunzi wanaweza andika tafiti zao kwenye issue ya namna hii.
 
Nyumba hizi zimelengwa shabaha kwa kundi fulani katika jamii. Pili, chukulia umechukua mkopo Benk na unatakiwa ndani ya miaka 15 uwe umesrvice mkopo wote unadhani njia ipi muafaka ya kurudisha deni hili ndani ya miaka hiyo?
 
What's the big deal guys..the house is awesome and tha price is also fair, only $1000 per month.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom