Napangisha Apartment ,iko maeneo ya Tabata Sigara.Iko 2nd floor, Ina vyumba viwili vya kulala,living room cum dining,jiko,store,common washroom,balcon mbili,luku inajitegemea na maji yapo.kodi laki 3 kwa mwezi.Karibuni

Duh, ndugu yangu ni jana tu nimelipia nyumba ya gharama kama hiyo baada ya kutapeliwa na madalali tena maeneo hayo ya barakuda!! Yaani ungeitangaza mapema mbona ningeichukua? Pole.