Apa stori tu kula kwenuuuu!!!

Apa stori tu kula kwenuuuu!!!

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,520
Reaction score
185,656
Hello wana jf! kwa utafit wang w awal nmegungua kuwa, w/me weng ktk mahsiano ni sex-oriented! hi ni ktokana kuw wanachokijua ni akpata dem basi kinachofuata ni sex! na ndio maana wasichana wanaojtambua husubir kwanza ili kupima hil so apo m/me akiona hapewi sex miez nenda miez rud anaanza visa then anasepa! kuthbitsha hil nilijarib kuulza vjana me/ke ktk mtandao m1 wa kjamii na nikagundua hil. Pili ni pale m/me aktongoza dem na kuanza kuomba cx apoapo au cku chache bada ya kukubaliwa! always strong gals says " APA STOR KULA KWENU!!"
 
Back
Top Bottom