Hii ni hoax ni watu tuu wanazitunga ni kama chain letter sio virus ya aina flani ni watu wanataka tu this to circulate around the web so usiichukulie seriously kwa reports nilizo soma nizazamani tokea mwaka 2000 ivi zinasambaa.AOL aiko responsible for them