martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,560
- Thread starter
- #21
kabisa mkuu jf ni kisima cha maarifaHii ndio jamii forum,mtu unaweza kuchota maarifa kibao toka hapa,hapa hutakosa Neno lililotimia. Na Wewe ndio mwanaume halisi,unaeweza kujifunza,kujirekebisha na kusonga mbele kishujaa kabisa ukijiamini. Hongera kwako kijana
kila la kheri