Anza mazoezi ya valentine day

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
181
Reaction score
66
Wapendwa,
Something to cheer you up..
Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akawauliza, “Wangapi wanawapenda waume zao?” Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena, “Mara ya mwisho umemwambia mumeo nakupenda lini?” Majibu mbalimbali yalitolewa, Wengine walisema leo, wengine jana, wengine hawakumbuki. Akawaambia kila mtu achukue simu yake halafu amtumie mumewe text yenye maneno, NAKUPENDA MPENZI. Wote wakafanya hivyo. Kisha akawaambia wabadilishane simu na kila mmoja asome majibu kwenye simu aliyoshika. Majibu yalikua kama ifuatavyo;
Simu 1 – Samahani nani mwenzangu?
Simu 2 – Heh Mama Joji unaumwa?
Simu 3 – Nami pia mpenzi
Simu 4 – Nini tena, umeshagonga gari?
Simu 5 – Sijakuelewa una maana gani?
Simu 6 – Umefanya nini tena? Leo sitakusamehe.
Simu 7 – Chukua time yako
Simu 8 - ???
Simu 9 – Acha kuzunguka unataka shilingi ngapi?
Simu 10 – Hivi naota?
Simu 11 – Leo utanieleza hii msg ulikua unamtumia nani. Shenzi mkubwa
Simu 12 – Nilishakwambia uache kunywa pombe husikii, naona umechoka kuishi na mimi





HABARI NDIO HIYO AANZA MAPEMAAAAAA ISWE TABU.


Enjoy your day!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
This is the third kama sio fourth thread yenye ujumbe ule ule!
 

Kaunga mimi nimeona nifuate headline yake inavyosema, niko huku nafanya maandalizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…