True kabisa.Kama kifaru angekuwa n mchoraji kila picha ambayo angechora ingekuwa na pua yake katikati ya hio picha, 7bu pua imezidi usawa wa macho.
Unaona dunia vile ulivyo, ila ukiamua kubadili mtizamo wako inawezekana kabisa. Namna bora ya kujifunza n kutana wigo wa vitu unajua.
Mwsho;
Ujinga wa karne hii s kutojua soma na kuandika ila n kutokuwa tayari kulearn, kurelearn, na kuunlearn
Dah hapo mwisho umemaliza na msemo wa mwandishi mashuhuri Alvin toffler kwenye. Kitabu chake cha future shock...I wish kila mtu angesoma hicho kitabu..Dah big up MkuuKama kifaru angekuwa n mchoraji kila picha ambayo angechora ingekuwa na pua yake katikati ya hio picha, 7bu pua imezidi usawa wa macho.