lahaullah!!!katukosesha dili,watu8 mjasiriamali wa majeneza angekuwa keshapiga dili tayari.na mwaka mpya huu,dah!!
Heheh mkuu tushakosa dili hapa....
Ilam usijali tutapiga kambi karibu na mtaani kwao najua upoyoyo bado haujamtoka huyu...
mshen.zy kabisa,kachomoka kwenye kilengeo huyo,uelekeo ulishakuwa kibra huyo!!!
Sasa hv akinywa tena hakuna msaada tena bora afe tu.
haha kwa hiyo akufa uwiii? jinga huyo sasa mademu wengi kunywa sumu kisa demu au mwanaume upuuzi mtupu ... umechunwa kwani alikuwa amgongi si ngoma drooo hapo
hahah so wee una support kuwa kidume akiyumia pesa kwa demu sharti amgegede lol.
kupunguza makali ya kuachwa tena gegeda hasa mpaka ikae sawa ha ha ha
hahaha hivi kweli ukiwa umebwagwa ata dushe linasimama ata demu avue chupi? mie sidhani bwan
ni kweli Anna ni kweli kakosea lakini wakati Mwingine tujielekeze kuwaelewa wenzetu hata kama wamefanya makosa!
hiyo inakuwa before kumwagwa unakula mzigo tu
miss chaga ni kweli huyu mtu kachukua very unwise decision!!lakini bana hii mambo ya mapenzi hii haina mwenyewe aisee!
Hajafa kimya cha dk moja cha nini sasa..??Moment of silence please! For him!πππππ
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.
hahha so sie tule mzigo tuacbe maana tusikijithaminisha itakula kwetu...loh basi ngoja nikutafute