Hakufa bana!Tatizo mshkaj aliweka future kwake...So alighalamikia xana
Hehehe! Achana na wadudu hawa!
miss chaga ni kweli huyu mtu kachukua very unwise decision!!lakini bana hii mambo ya mapenzi hii haina mwenyewe aisee!ila vijana wengi huwa tunajidanganya sana unawekaje 100% future kwa mtu uliyemtongoza tu tena kwa kukutana aisee me sijui naona kama jamaa alijiaminisha sana kwa huyo demu.... mwambie aache ujinga afanye maisha sasa ona anaonekan jinga hata jamiii haimdhamini tena kwa sababu kashindwa kujua thamani yake
miss chaga ni kweli huyu mtu kachukua very unwise decision!!lakini bana hii mambo ya mapenzi hii haina mwenyewe aisee!
Nielekeze alipo nimcharaze bakora atakunweje sumu ilihali wanawake wengi kuliko wanaume? Ili kuhakikisha kila mwanamke aliyepo hapo duniani anapata huduma (kasoro masita ) lazima kila mwanaume agonge ndani na nje halalafu dume zima unywe sumu nyoooo!!!!!!!
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.
huyu jamaa poyoyo kabisa...badala ashukuru kujua kademu chenyewe si cha kuishi nacha analazimisha matatizotena kwa kujaribu uhai wake nyambafu kabisa... jana nilisema wanaume aklia aziwatoshi kidogo nipigwe mawe kweli ameproove ile kauli yangu ya jana
yani aisee kuliko nijiue ni bora nimpe adhabu nyngine huyo aliyenitesa,........ just word ilove u inipe tabu maishani labda pesa aiseee