CCM wameua tena. Kama wangeboresha elimu binti angepata walau division four. Wanaua akina mama wakati wa kujifungua, wanaua watoto wadogo kwa kukosa tiba bora na sasa wanaua vijana kwa kuwasababisha wanywe sumu baada ya kupata elimu duni. Jamani CCM kati ya 240,000 ni wangapi watajizuia kunywa sumu???
Mtanzania wasaidie watoto wetu kwa kuikataa CCM 2015