Mtoto wa tembo
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 198
- 31
mwanafunzi wa shule ya kaloleni katika jiji la Arusha anaejulikana kwa jina moja la Ashura .
Amekunywa sumu aina ya ddt.
Kibaya zaidi alikua mtoto pekee kwenye familia .inasikitisha sana.RIP mwanafunzi.
Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya katamwanafunzi wa shule ya kaloleni katika jiji la Arusha anaejulikana kwa jina moja la Ashura .
Amekunywa sumu aina ya ddt.
Kibaya zaidi alikua mtoto pekee kwenye familia .inasikitisha sana.RIP mwanafunzi.
Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya kata
mkuu inategemea sio wote wenye uwezo. R.I.P Ashura.Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya kata
Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya kata
flora msoffe wazazi wake wana matumizi wa watu watatu tuu (i) Baba (ii) mama na (iii) binti yao. Wewe mwenye watoto sita una matumizi ya zaidi ya watu tisa....pesa zinaenda wapi?km hana uwezo je?nanga inapaa
mwanafunzi wa shule ya kaloleni katika jiji la Arusha anaejulikana kwa jina moja la Ashura .
Amekunywa sumu aina ya ddt.
Kibaya zaidi alikua mtoto pekee kwenye familia .inasikitisha sana.RIP mwanafunzi.
Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya kata
Mtoto wa tembo huyu mtoto wa pekee wazazi wake walimpeleke shule gani? Sitegemei mtoto wa pekee kupelekwa shule ya kata
Jamani nina kiwanja changu 20m X 20m nataka kuweka nyumba vya kupangishwa kwa ajili ya maandalizi ya ada za sekondari kwa watoto wangu; kiwanja kipo Arusha, wapangaji wanapatikana nachoomba mwenye ubunifu maana natamani kujenga vyumba vya "double" vyenye choo ndani na shemu ya kupikia "corridor". Naomba msaada wa "design"
Hata mimi mapata ushungu sana, R.I.P Ashura.mwanafunzi wa shule ya kaloleni katika jiji la Arusha anaejulikana kwa jina moja la Ashura .