Nimejifunza kwamba wabongo ukishakufa ndio unasifiwa sana. Sifa zote hizi anazopewa kila ninaposikiliza radio, sidhani kama yeye mwnyw aliwah kuzijua. Nadhani HAZIMSAIDII kwa sababu zinaangukia katika ile dhana ya kwamba "SIO BUSARA KUMSEMA VIBAYA MAREHEMU".
Lingine ni kwamba msiba wake umekuwa kisiasa zaidi kuliko kijamii. Hao wanaosemwa kuinuliwa na Ruge (wanamuziki) hawakusikika sana, badala yake tumewasikia zaidi watu maarufu wa kisiasa.
Nadhani na yeye ni marehemu kma marehemu wengine tu, na ishu au event yyt ikishikwa na CLOUDS FM, lazima itabamba sn.
Pole kwa wafiwa, na Mungu ailaze roho ya marehemu sehemu inapostahili. Amen
KENEDY: Boss kwa mfano siku ukiondoka unadhani bongofleva itakukumbuka kwa lipi?
RUGE: Mimi sio mtu wa kwanza kuibeba bongo fleva. Wapo walionitangulia, lakini mimi niliufanya mziki huu kuwa wa kibiashara. Hilo tu inatosha.
#GODFATHER
langa kileo, albert mangwea, hao walikufa......... ray c, chid benz hao bado wanasota..... dayamond na led jey dii jumlisha profesa jeyi 1na sugu wao walikuwa antivairasi.......