ndo maana wachina wana tight control ya internet, vijana wa kiasia wakikomalia jambo huwa ni wabishi na wanaweza kuandamana hata miaka 10 mpaka walipate.
Maandamano ya Tianmen square yaliufundisha utawala wa beijing somo kuwa usiwaruhusu wachina kuingia mtaani ni hatari, na ndo maana censorship ya internet kwenye nchi yao ni kubwa mno