Any Experienced Technical SEO Expert in here ?

Kama upo serious na una budget njoo inbox but kama huna budget unataka tu trick za kawaida ngoja tukitulia tutakuwa tunazishusha humuhumu mdogo mdogo
 
Ila hutopata vitu ving sana humu coz watu wanatumia pesa kupata knowledge so kukupa free sio rahisi sana
 
Sihitaji kitu cha bure. Niko tayari kulipia matokeo yasiyo na shaka.
 
Matokeo ya SEO huwezi yaona ndani ya wiki 1 inachukua miezi mpaka mwaka ili uweze kuyaona. Je uko tayari kuvumilia?
Nahitaji WP Speed Optimization. Mambo yote kuhusu On-page SEO and how it works najua.
 
Looking for a technical SEO expert with experience.

Awe na uwezo wa kutatua matatizo yote yanayohusu site SEO ikiwemo Speed as per Google page speed.
Kama hiyo wordpress theme ulinunua nicheck faster, we work via zoom.
 
Just install Wp speed optmization plugins zipo
Pia kama site yako Ina run ads, jaribu Kupunguza idadi yake, number of ads Inapunguza performance ya sites pia

Jaribu Kufanya images Optimization,high quality images zina increase loading speed pia
 
Back
Top Bottom