Any comment kwa Prof. Huyu?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Hebu angalia hii cv hlfu tia neno...
 
Kwani vipi, kapewa kazi na Trump?
 
Anafanya kazi gani au amejiajiri?
 
huyu lazima alikua anazisoma mbilimbili
 
Halafu ukute hajandua chochote cha maana kakalia kujaza tu cv kichwani kashasahau kuna kuoa
 
Halafu ukute hajagundua chochote cha maana kakalia kujaza tu cv kichwani kashasahau kuna kuoa
 
Possible kusoma masters hata nne or more depending na ability ya mtu muda na cash yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…