Antonio Conte afungashiwa virago Spurs

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,759
218,380
Timu ya soka ya Tottenham Spurs imetangaza kumfuta kazi Antonio Conte , Conte amefutwa kazi kutokana na mgogoro na wachezaji wake pamoja na mwenendo usioridhisha wa Timu hiyo.
---
1679873465125.png

Picha: Antonio Conte

Klabu ya Tottenham imetangaza kuachana na kocha Antonio Conte kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Cristian Stellini atakuwa kocha mkuu mpaka mwisho wa msimu, akisaidiwa na Ryan Mason.

Conte ambaye alijiunga na Spurs Novemba 2021 kwa mkataba wa miezi 18,anaondoka akiiacha timu hiyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu nchini England.
---

Tottenham have parted company Antonio Conte after the Italian slammed his players as "selfish" after last Saturday's 3-3 draw with Southampton.

Spurs say that Conte's assistant Cristian Stellini will be acting head coach for the rest of the season, with Ryan Mason assistant head coach.

Conte departs Tottenham after 16 months in charge following an extraordinary rant against his players after they threw away a 3-1 lead at rock-bottom Southampton to cap a miserable March for the club.

It saw them dumped out of both the FA Cup and the Champions League to leave them without a trophy for another season stretching back to 2008.

Daniel Levy said in a statement: "We have 10 Premier League games remaining and we have a fight on our hands for a Champions League place. We all need to pull together. Everyone has to step up to ensure the highest possible finish for our club and amazing, loyal supporters."
 
Na Kenge,

Baada ya sintofahamu ilijitokeza baada ya Kocha wa Spurs Conte kutema sumu akiwashushia lawama wachezajo kwenye mahojiano baada ya mechi dhidi ya Southampton iliomalizika kwa sare ya 3-3 huku Soton wakifanya comeback ya magoli matatu dakika za lala salama.

Kwenye mahojiano baada ya mechi kocha alielekeza lawama zake zote kwa wachezaji kama Kane akimshishia lawama kuwa ni mbinafsi japo ni wolrdclass player

Hatimae 27 March klabu ya spurs imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wao Conte baada ya makubaliano ya pande zote mbili(Mutual agreememt)

Kwasasa spurs watanolewa na Cristian Stellini akishirikiana na Ryan Mason mpaka mwisho wa msimu.Ikumbukwe spurs walikuwa mstari wa mbele kumnyemelea Thomas Tuchel ambae amesainiwa na Bayern munich

Spurs wanashika nafasi ya nne katika ligi EPL huku wakiangukia pua kwenye michuano mingine kama UCL na FA.Vilevile Conte hakubahatika kupata kombe lolote huku akiinoa spurs kwa muda mfupi zaidi wa miezi 6 tu

Uongozi wa spurs umependekeza majina ma5 ya makocha kama vile Julian Nagelsmann,,Marcello Gallardo,huku tetesi nyingine zikidai kumrudisha aliyekua kocha wao Pochettino.

JE SPURS WAMEFANYA LA MAANA AU WAMEPUYANGA??

CC KENGE 01
Source:FABRIZIO ROMANO
View attachment 2567080
 
Timu ya soka ya Tottenham Spurs imetangaza kumfuta kazi Antonio Conte , Conte amefutwa kazi kutokana na mgogoro na wachezaji wake pamoja na mwenendo usioridhisha wa Timu hiyo.
---
View attachment 2567078
Picha: Antonio Conte

Klabu ya Tottenham imetangaza kuachana na kocha Antonio Conte kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Cristian Stellini atakuwa kocha mkuu mpaka mwisho wa msimu, akisaidiwa na Ryan Mason.

Conte ambaye alijiunga na Spurs Novemba 2021 kwa mkataba wa miezi 18,anaondoka akiiacha timu hiyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu nchini England.
---

Tottenham have parted company Antonio Conte after the Italian slammed his players as "selfish" after last Saturday's 3-3 draw with Southampton.

Spurs say that Conte's assistant Cristian Stellini will be acting head coach for the rest of the season, with Ryan Mason assistant head coach.

Conte departs Tottenham after 16 months in charge following an extraordinary rant against his players after they threw away a 3-1 lead at rock-bottom Southampton to cap a miserable March for the club.

It saw them dumped out of both the FA Cup and the Champions League to leave them without a trophy for another season stretching back to 2008.

Daniel Levy said in a statement: "We have 10 Premier League games remaining and we have a fight on our hands for a Champions League place. We all need to pull together. Everyone has to step up to ensure the highest possible finish for our club and amazing, loyal supporters."
Mkuu imekuaje ametimuliwa mapema kocha uliekuwa unampa nafasi ya kufanya vizuri EPL kuliko Kaka Arteta uliekuwa unamfungulia Thread kila baada ya weekend kuwa hafai
 
Mkuu imekuaje ametimuliwa mapema kocha uliekuwa unampa nafasi ya kufanya vizuri EPL kuliko Kaka Arteta uliekuwa unamfungulia Thread kila baada ya weekend kuwa hafai
Anayefuatia ni Arteta , Halafu kilichomuondoa Conte si hasa uwezo , bali Tabia yake , ni mnoko sana na mbishi
 
Anayefuatia ni Arteta , Halafu kilichomuondoa Conte si hasa uwezo , bali Tabia yake , ni mnoko sana na mbishi
Sasa mkuu wewe huo uwezo wa Konte umeuona hapo Spurs tangu afike pamoja na kuboreshewa kikosi?

Kuna makocha walikuwa ni Bora, ila muda unavoenda wanakuwa hawana jipya tena maana mpira umebadirika sana

Konte ni aina ya kocha kama Mourinho ni wazee wa kununua wachezaji Bora katika kila eneno la kuwahamasisha na sio mbinu

Mpira wa Leo kuna makocha vijana wana mbinu ni balaa, Konte ata msimu uliopita alimaliza Top four kutokana na ubovu wa Arsenal tu

Kwa upande wa Arsenal utasubiria sana kuona Arteta anafukuzwa pale, maana huna logic wala fact's za kuongea ili mtu aungane naww kumfukuza Mikel pale Arsenal
 
Laana ya Conte itawala tu, wameshaondoshwa kwenye top 4, Na Champion League mwakani wataitizama kwenye Television tu.
 
Yaleyale ya Bayern,
yatajirudia kwa Spurs
Unatimua kocha timu iko form,
Wakianza kupoteana wasitafute mchawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom