Antivirus

Antivirus

Joez

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
27
Reaction score
14
The most helpfull and Free antivirus Try Microsoft Security Essential
 
Leteni hizo link ili tuone hayo mnayoeleza, au wataalamu tulete free Antivirus..
 
Avast niliiacha nilipo kutana na virus fignotok.A , Haikuweza kudetect, computer ilibadili mwenendo ikaanza kuwa na kiwewe. Ni Norton pekee ndo iliniokoa. Na mpaka sasa natumia Norton
 
Avast niliiacha nilipo kutana na virus fignotok.A , Haikuweza kudetect, computer ilibadili mwenendo ikaanza kuwa na kiwewe. Ni Norton pekee ndo iliniokoa. Na mpaka sasa natumia Norton

inamaana huyo virus ni mkali sana? ninavyojua mimi trojan ndio virus wakali...ni kwweli?
 
Microsoft security essential haitumiki tena tangu xp ilipopigwa chini na ukiendelea kuitumia yenyewe inageuka kuwa kirusi au inakuwa mpelelezi wa Microsoft, Bitdefender ndiyo inayoongoza sokoni kwa sasa soma reviews kwenye mtandao
 
avast is the best coz kama kuna virus mpya katengenezwa online bas utaweza ku update virus definition na itaweza kupambana nae...

nai2mia avast tangu 2009 sijaona usumbufu wowote kwangu na ninamafaili mengi tu yako poa..
 
Nachoipendea Avast ni kwamba imetengenezwa zamani sana ukicompare na AV nyingine. Kwa hiyo kupambana na threats hata wa zamani ni kitu cha kawaida. Ina scan PC kwenye backgeound bila kutumia kiasi kikubwa cha RAM.
 
NOD32 Ndio Funga Kazi. Mwanzoni nlikuwa nkutumia Avast lakini ikawa inakula Mafaili ambayo yameathirika. Saivi nnaitumia NOD32, Hakika ni nzuri na utaipenda.
 
Mie natumia Eset simu mpaka pc sijaona tatizo nayo vipi mbona hamna mdau hata mmoja anayeitumia?
 
Back
Top Bottom