tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Wakuu vinega ni hatari tupu hawa jamaa, sijui ule usuluhishi uliishia wapi?
Nimesikiliza "preview ya michano", Baadhi ya mistari inasema
" tuna nguvu ya hoja,
wao wanajikongoja,
wamefungua kesi, wakiwa wamevaa pensi,
wakaenda kuifuta wakiwa wamekodi tax",
michano inaendelea
"mnajifanya watoto wa mjini,
mnakimbilia polisi....
kama kweli wahuni mbona mnaenda mahakamani,
haki gan mnayotafuta?...."
NB: Naona hii vita bado mbichi kabisa, na jamaa wana hasira sana na Ruge...pia wamempa salamu Nchimbi kwamba kwenye vikao hawatimbi...
Hiyo preview unaweza kuipata HAPA