Antivirus kwa ajili ya simu.

Antivirus kwa ajili ya simu.

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,331
Wadau.
Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option ya shortcut ya GO TO amevuruga option ya ku Organise folders na siwezi kuchukua file kwenye application yoyote.
Naombeni msaaada maana kuflash ni hatari zaidi hasa kwa kupoteza certificate za simu ambazo ndio mujarabu kwa net.
 
Nazifahamu antivirus mbili,kuna ''NET Q ANTIVIRUS'' hii ni free kabisa na ni nzuri. Ila pia hipo Kaspersky mobile phone antivirus. Wewe google tu,utazipata.
 
Asante mkuu. Mwenye nyingine inayoendana na simu yangu amwage hapa kwa msaada.
 
Nakushauri utumie NetQin ni nzuri na ina huduma nyingine za ziada kama ant lost, blacklist nk pia ni bure na rahisi kutumia. Inapatikana Ovi Store au Opera mini Applications Store. Naitumia zaidi ya mwaka sasa.
 
Wadau Jf nokia 5000 inawezasapot antivirus. . . ?
hiyo ni java sidhani kama kuna antivirus ya java format',,,

Wadau.
Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option ya shortcut ya GO TO amevuruga option ya ku Organise folders na siwezi kuchukua file kwenye application yoyote.
Naombeni msaaada maana kuflash ni hatari zaidi hasa kwa kupoteza certificate za simu ambazo ndio mujarabu kwa net.
unatumia express music gani? kama ni 5130 hiyo ni S40 huwezipata antivirus za java, kama ni 5530, 5230 au 5800 sema utaftiwe...😛eace:
 
Kwa nokia wanatumia symbian os, nenda ovi store utapata zipo za kumwaga
 
Back
Top Bottom