cheki hii post ni swali kama lako
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/182370-nahitaji-antivirus.html#post2666328
Mkuu kama unabadilisha AV kwasababu imeshambuliwa na virus siku moja basi utabadili nyingi sana.Wakuu mimi natumia Kaspersky 2011 itakayoexpire baada ya siku 182 zijazo,ila jana kiliingia kirusi fulani hivi wakati nilipokuw na update computer yangu, kirusi hiki kilidanganya security defender ikawa inatoa alerts za kuonesha kwamba computa is infected, kikawa kina interfere mpaka matumizi ya kawaida ya computer.Nilifanya full scanning kwa kutumia Kaspersky lkn ikashindikana. Niligoogle solutions, wakaniambia nitumie Antimalwarebytes lakn ikashindikana ikabidi niformat computer ndio tatizo likaisha.
So, naomba nifahamishwe what is the best antivirus kwa sasa?
Mkuu kama unabadilisha AV kwasababu imeshambuliwa na virus siku moja basi utabadili nyingi sana.
Virus wanatengenezwa kila siku, hivyo watengenezaji wa AV wanakazi ya kubaini Virus wapya na kuongeza updates kwenye AV zao pindi wanapo baini virus wapya. Ndio maana unatakiwa ku update Av kila mara.
Sasa inawezekana kirusi hicho kilikuwa bado hakijabainiwa na watengenezaji wa AV na kutengenezewa definition yake kwaajili ya ku update AV ndio wewe ukakipata, hapo AV haita kitambua kama virus
So hakuna Av inayoweza kuzuia virus kwa asilimia miamoja.
Nakushauri achana na AV za kibiashara zaidi kwa kuwa zinawekwa madoido mengi sana kukufanya uamini zinafanya kazi sana na kumbe zinatumia nafasi kubwa sana kwenye ram yako na kupunguza performance ya pc yako
Microsoft ni watengenezaji wa windows hivyo kwa kutambua wateja wao wa windows wanapata karaha ya virus wakaamua kutengeneza AV yao inaitwa Microsoft essential security, Av hii ni nzuri sana na ipo nyepesi, haina madoido ipo straight kuzuia virus, kamwe haifanyi pc kuwa nzito na ina ufanisi mkubwa sana na ni ya bure kabisa.
Kwa kuzingatia wao ni watengenezaji wa windows watakuwa wanajua vizuri zaidi mahitaji ya ulinzi salama kwa windows zao kuliko third parties waliopo kibiashara zaidi.
Wakuu mimi natumia Kaspersky 2011 itakayoexpire baada ya siku 182 zijazo,ila jana kiliingia kirusi fulani hivi wakati nilipokuw na update computer yangu, kirusi hiki kilidanganya security defender ikawa inatoa alerts za kuonesha kwamba computa is infected, kikawa kina interfere mpaka matumizi ya kawaida ya computer.Nilifanya full scanning kwa kutumia Kaspersky lkn ikashindikana. Niligoogle solutions, wakaniambia nitumie Antimalwarebytes lakn ikashindikana ikabidi niformat computer ndio tatizo likaisha.
So, naomba nifahamishwe what is the best antivirus kwa sasa?
Mkuu kama unabadilisha AV kwasababu imeshambuliwa na virus siku moja basi utabadili nyingi sana.
Virus wanatengenezwa kila siku, hivyo watengenezaji wa AV wanakazi ya kubaini Virus wapya na kuongeza updates kwenye AV zao pindi wanapo baini virus wapya. Ndio maana unatakiwa ku update Av kila mara.
Sasa inawezekana kirusi hicho kilikuwa bado hakijabainiwa na watengenezaji wa AV na kutengenezewa definition yake kwaajili ya ku update AV ndio wewe ukakipata, hapo AV haita kitambua kama virus
So hakuna Av inayoweza kuzuia virus kwa asilimia miamoja.
Nakushauri achana na AV za kibiashara zaidi kwa kuwa zinawekwa madoido mengi sana kukufanya uamini zinafanya kazi sana na kumbe zinatumia nafasi kubwa sana kwenye ram yako na kupunguza performance ya pc yako
Microsoft ni watengenezaji wa windows hivyo kwa kutambua wateja wao wa windows wanapata karaha ya virus wakaamua kutengeneza AV yao inaitwa Microsoft essential security, Av hii ni nzuri sana na ipo nyepesi, haina madoido ipo straight kuzuia virus, kamwe haifanyi pc kuwa nzito na ina ufanisi mkubwa sana na ni ya bure kabisa.
Kwa kuzingatia wao ni watengenezaji wa windows watakuwa wanajua vizuri zaidi mahitaji ya ulinzi salama kwa windows zao kuliko third parties waliopo kibiashara zaidi.
mkuu hii kitu ndo nasafa nayo! sijui nifanye nini? vipi wapi naweza kupata window orginal kabisa?Kaka maelezo yako ni mazuri, lakini hapo kwenye RED, Hiyo AV ya microsoft unaweza tu kuitumia kama window yako ikiwa ni Original, Ukijaribu kuweka hiyo anti Virus kwa hizi window za mtaani zilizochakachuliwa, utalia mara mbili. Utapambana na "window counterfaint" Itakuwa na screen nyeusi, na mwisho wa siku itagoma kufanya kazi. Usijaribu kuweka hiyo anti virusi ya microsoft kama huna window Original, siku ukii update tu, utanaswa na baada ya siku kadhaa, Desktop yako itakuwa nyeusi na kukuhitaji uweke iliyo orginal.
Mkuu sidhani kama upo sahihi, mimi natumia windows 7 ya mazabe na ninatumia hiyo AV,Kaka maelezo yako ni mazuri, lakini hapo kwenye RED, Hiyo AV ya microsoft unaweza tu kuitumia kama window yako ikiwa ni Original, Ukijaribu kuweka hiyo anti Virus kwa hizi window za mtaani zilizochakachuliwa, utalia mara mbili. Utapambana na "window counterfaint" Itakuwa na screen nyeusi, na mwisho wa siku itagoma kufanya kazi. Usijaribu kuweka hiyo anti virusi ya microsoft kama huna window Original, siku ukii update tu, utanaswa na baada ya siku kadhaa, Desktop yako itakuwa nyeusi na kukuhitaji uweke iliyo orginal.
mkuu just google windows activator utapata nzuri na itaifanya windows yako kuwa activatedmkuu hii kitu ndo nasafa nayo! sijui nifanye nini? vipi wapi naweza kupata window orginal kabisa?