Antivirus ambayo ni nzuri

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wanajamvi anvirus gani ni nzuri kuweka kwenye simu za android.
 
Wanajamvi anvirus gani ni nzuri kuweka kwenye simu za android.

Ingia play store kisha download AVAST APK [ Free Version ]

Kwa ufupi kuhusu avast



Premium APK ichukue hapa : AnonymZ​
 
Avg pro ni nzuri ila ni ya kulipia..ipo AVG ambayo sio ya kulipia lakini sio nzuri kivile..

Ila hii ya kulipia unaweza kui download bure kupiti store moja hivi inatwa Blackmat..
 
hakuna haja ya antivirus kwenye simu unapoteza muda tu
 
Mpak leo cjaonag kaz antivirus kweny simu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ