"anti ezekieli" vp katika tasnia ya filamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"anti ezekieli" vp katika tasnia ya filamu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjunguonline, Apr 21, 2011.

 1. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana "JF",mambo vp popote mlipo TZ.Mi ni mpenzi sana wa Filam za Kibongo.Kati ya wasanii ambao,nilikuwa navutiwa nao ki usanii ni pamoja na "ANTI EZEKIELI".

  Kama kawaida ya wabongo wengi,wanapopata mafanikio kidogo tu,hupenda sifa.Ndivyo ilivyomtokea huyo mrembo.Ujue nini wazee,kwa sasa huyu binti,binafsi ananiboha sana.Kivipi,huyu binti,anapenda sana kuwatawala MADAIRECTOR wa filamu.Anavaa nguo zake za nusu uchi,hata kama kuna sehemu ambayo hakupaswa kuvaa hivyo.Mbaya zaidi,kamwe hataki kuigiza kama HOUSEGIRL.

  Mi nawashauli MASTAA wa filamu nchini,wamtenge na kutomshirikisha katika kazi zozote za filamu nchini.Alafu tumuone hizo sifa zake atazitoa wapi.

  Mbaya zaidi,jinsi anavyovaa,utafikili hana wazazi.Kwa mtu mwenye busara,kamwe huwezi kujidhalilisha mwili wako km anavyovaa huyo DEMU.

  Magwiji wa filamu nchini,fanyeni kazi zenu katika maadili ya kitanzania.Acheni kuiga utamaduni wa AMERICA.
   
 2. k

  kinubi Senior Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  umenena
   
 3. m

  mareche JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mbona anapendeza tu wivu unakusumbua
   
 4. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @Mareche,Tatizo co kupendeza,tatizo kumuongoza DIRECTOR,sio flesh.Na vaa yake,haina maadili
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  jaribu Kumtenga uone nini kitatokea:

  Nigeria waliwahi kuwatenga akina Noah Ramsey; Amatola na mastaa wengine for similar reasons. tasnia ya Filamu ilidoda hadi wakawarudisha wenyewe.

  For TZ home kwangu wananunua movie ambazo zi mastaa kama Aunt ezekiel; kanumba; Ray; Uwoya na top stars. Zingine ni kama hawazioni. Sasa piga picha.
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Una uhakika kuwa humsingizii? Kama anawatawala madirector na kujichagulia part ya kuigiza, wanashindwa nini kumgomea au kugoma kufanya naye kazi? Hebu acha kumchafulia mrembo wetu Bana!
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  mkuu umenena, director yeyote makini hawezi kukubali kupelekwa puta na muigizaji.. Anti Ezekiel kifaa bana, mi lavu ha veri veri!
   
 8. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Hakika kaka umenena. Utoto na ujinga mwingi wa waigizaji na wanamiziki ndio impact yake hiyo. Kwanza most of them shule iliwashinda wakawa tayari wamekata tamaa ya maisha sasa waliposikia kuna sehemu unakaa uchi kisha unalipwa pesa hawakuona tatizo. mimi kinachoniskitisha zaidi ni hao wazee wa BASATA ivi wajibu waliojitwisha wanauweza? au na wao wavue gamba basi, wengine wanaonikera sana ni wale akina mama wa TGNP ivi mbona hatuoni wakiwakemea madada watembea uchi? mambo mengine yanachefua sana. sasa madada wanavaa nyavu kisha wanatembea barabarani? aah inabidi kufanyike namna.
   
 9. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku "A"Town,madada kama hao,wanapopita kitaa kwa staili kama hizo za kuvaa 1/2 uchi,huzomewa kinoma.Mwanamke Mwenye heshima,mbele ya JAMII,hujiheshimu.Ila mwanamke aliyepinda,yeye hufanya lolote atakalo,kwani hajiheshimu...Kazi kweli kweli.!
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Unaonekana mkuu unaleta majungu hapa juu ya huyu binti na kama ulikuwa na hoja umeshindwa kuijenga. Wewe habari ya kwamba anatawala 'Directors' wa filamu umejuaje, halafu kwamba hataki kuigiza kama house girl, je ulimwambia acheze kama housegirl akakataa,? mbona kuna movie hivi karibuni ame-act kama mrembo kikojozi amevalishwa mpaka nepi utafikiri mtoto mdogo
   
 11. C

  Clego Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Frankly speaking TZ Hao wanaoitwa mastaa hakuna actor hata mmoja wao wanashindana kupiga picha tu anaye piga picha nyingi ndiye staa!Kuna watu hawana majina wanafunika ile mbaya tatizo soko kashika mdosi nahao BASATA na BODI ya FILAMU hawana la kusema kwa mdosi wanaburuzwa tu.sijui kama filamu huwa zinakaguliwa.
   
Loading...