Anthony Joshua kurejea ulingoni Jumamosi hii

Silaha kubwa ya AJ ni upper cut.
Kwa pambano hili bado sijaona bondia wa kumpiga tyson furry kwa mabondia wa sasa.joshua kwa furry hatoboi,hasa kama raund zitazidi 4.mbulgaria mvumilivu lakini kiufundi sio mzuri.
 
Kilichofanya AJ amcheleweshe Pulev ni ile style yake mbovu ya kupiga jab na kuhug, jamaa ana gameplan ya kukera
 
Kwa pambano hili bado sijaona bondia wa kumpiga tyson furry kwa mabondia wa sasa.joshua kwa furry hatoboi,hasa kama raund zitazidi 4.mbulgaria mvumilivu lakini kiufundi sio mzuri.
Hakuna wa kumsimamisha Furry kwa sasa, kila siku anazidi kuwa fit.

Ila kuna dogo anaitwa Daniel Dubois "the next tyson" atakuja kusumbua sana kwenye heavy weight boxing.
 
DDD yaani dubois? Jamaa huwa anakwepa sana mabondia mahiri,huwa anachagua mabondia wabovu ili kulinda rekodi .huwa tinamshambulia sana instagram,sasa juzi kati si kajichanganya kwa joyce! Kabondwa vibaya.DDD mzuri kwa mabondia wabovu.
 
Makonde yaliopelekea pulev kutokuendelea
FB_IMG_1607838274141.jpg
 
Kwa wazee wa streaming njooni hapa tujumuike kwa pamoja, ingia hii link game kubwa zote za Boxing utakuwa unaziona live buuure Boxing Streams Live
mkuu screpa uko macho now? maana hii link imekataa kabisa nataka niwatch McGregor Vs poirrie fight haitaki. Ya kwangu hesgoal.com Leo wamesema hawaoneshi. shida tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom