Tusubiri pambano la marudiano tuone kama atarudia alichofanya kwa Ruiz, japo binafsi namuona this time ana wakati mgumu sana.A.J alicheza kwa wakati mgumu Sana maana timing yake ni kuingia ndani.
Ila Usky hakumpa nafasi kuingia Wala kutawala, amechezea nyingi za uso na alikuwa anamhofia kabla ya pambano na upepo ulikata Kama kwa Andy Ruiz Junior The Destroyer.
Ngumi walipigana kina Evander Hollyfied, Tyson, Bowe, Lenox, Razor Rudock, Mohamed Ally, Ken Norton, Foreman nk. Hawa wa sasa hakuna ngumi kabisa.Nipige this time halafu nitaomba kurudiana tuta make pesa kuliko hii, hawa jamaa siku hizi siwaamini hizi game za marudio ndio target zao game ya kwanza kama promotion na kweli kama WWE lakini bora WWE wao hata jina lao ni entertainment sawa tu ila boxing siku hizi hakuna kitu. Tyson aliondoka na ngumi zake....
True..Nipige this time halafu nitaomba kurudiana tuta make pesa kuliko hii, hawa jamaa siku hizi siwaamini hizi game za marudio ndio target zao game ya kwanza kama promotion na kweli kama WWE lakini bora WWE wao hata jina lao ni entertainment sawa tu ila boxing siku hizi hakuna kitu. Tyson aliondoka na ngumi zake....
Afadhali Fury kuliko Wilder,Niliwahi cheki movie ya Creed
Pale mtoto wa apolo creed anamuuliza mwalimu ilikuwaje alimpiga baba yake kwenye pambano maana babaye anasifika kuwa alikuwa bondia hatari Sana
Jamaa akamjibu "it was time " his time was over "
Muda ukifika utapoteza tu no matter what
AJ era is fineshed kuanzia Sasa ataanza kupigana mapambano ya bonanza
Holyfield alivunga alipowasha turbo kamnyoosha
Hivi kina Joshua wangeweza kupiga ngumi kama hizi.
Ngumi zilikuwepo miaka ya 70 hadi 90, kwa sasa ni entertainment tu kama mieleka ya WWE ya kina The Rock, Stone Cold Steve Austin enzi za Attitude Era ama Ruthless Aggression.
Mimi ni mshabiki mkubwa wa AJ, hebu tuache kujifariji uongo.AJ siku hizi anapenda biashara kuliko heshima, hapo anatafuta hela ndefu kwenye pambano la marudiano.
Huyo jamaa atachakazwa na AJ kwenye pambano la marudiano hamtaamini.
Vip Fury Vs Wilder 2 unadhani nani atashinda?Afadhali Fury kuliko Wilder,
Fury is more technician,
Wilder is the deadliest Killer!
Joshua hana chin, hana pumzi