Answer these 36 questions to find love

Answer these 36 questions to find love

1. Cristiano Ronaldo
2. Somehow, in any way
3. No
 
Andika kwa kiswahili bossi,sisi hatuwezi..
Hivi ukikuta mfano mwl wako ametunga maswali afu ukaona mengine kakosea ikiwa ni pamoja na gramatic error unalijibu au unaacha? Hii lugha ni vema tu ungeandika kwa kiswahili!
 
Ukielewa unajibu tu
 
Ok ok that is because that you are not know these language of english.
Tumiya kiswairi kingeleza tuwachie wasomi.

Hahahahahahahaha
Hahahah naomba tuongozane wote kwa rasi simba[emoji23] [emoji23]
 
Hivi kweli watu wanajifunza inglish kwa rasi simba..and wanaelewa
Mi sijawahi kushuhudia mtu kajifunza huko,naonaga tu matangazo kwamba ndani ya miezi mitatu unakua umejua kuandika na kuzungumza kingreza,usipoelewa ndani ya hiyo miezi mitatu basi we ni kichwa mzigo amekushindwa anakurudishia hela yako[emoji23] [emoji23] kwa iyo inasemekana jamaa yuko full nondo kwenye ufundishaji wa hi lugha ya malkia
 
haha then twenzetu basi,tusipoelewa SI hela inarudi..??ofisi zao ziko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom