The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mnawaza mbali ! But it has substance in it!Mzuqa
Yasije yakamkuta kama ya Khashoggi akidhani Sweden atakuwa Salama.
Hata kama hawatamchinjachinja kama Saudi Arabia ilivyofanya kwa muandishi Jamal lazima juju watampiga tu.
Ila tuseme kaingia hapo ubalozini hadi wamzuge ansbert asubiri, deputy president huku hadi atume hit squad itachukua siku mbili hawawezi kuitumia dreamliner wanaotudai wataikomalia.
Itabidi akina henry kisanduku waombewe visa ya schengen faster wakatiwe tiketi emirates qatar ama ethiopia airlines iyo itachukua ka siku mbili tatu. Nawalivyo reckless na mambo yao watadakwa tu adisababa, dubei ama doha nakurudishwa bongo.
Awe vigilant tu ansbert
unamjua bana. Ni muandishi mzawa mzalendo wa habari za kichunguzi ambaye aliwanyima nakuwanyima usingizi kwa kuandika ukweli kuwahusu kwa mustakabali na manufaa mapana ya taifa letu.Ndo nani huyo Ngurumo?
unamjua bana. Ni muandishi mzawa mzalendo wa habari za kichunguzi ambaye aliwanyima nakuwanyima usingizi kwa kuandika ukweli kuwahusu kwa mustakabali na manufaa mapana ya taifa letu.
Ni kama tu Jamal Kashoggi wa Saudia bila kudra za mwenyezi Mungu hadi Finlend ikampa hifadh angeokotwa kokobeach. Angalia mlichomfanyia Azory
Dogo acha porojo wewe. Nipatie heshima yangu kama baba yako wa kamboOk sasa asante kwa maelezo, sasa ameshakufa au bado?
Hawa ni kati ya hit squad deputy president atawatuma kama anserbert atajichanganya kuingia ubalozi wetu Stockholms?
Niko nyarugusu mkuuWe uko wapi dogo?
Yule mzee aliyekuwa anaimbaga bendi ya Msondo NgomaNdo nani huyo Ngurumo?
Balozi wa Stockholm ni nani tuanzie hapo?Hawa ni kati ya hit squad deputy president atawatuma kama anserbert atajichanganya kuingia ubalozi wetu Stockholms?
Kama Sweeden ndipo huko aliko Dr Mihogo, naunga mkono hoja.Mzuqa