another photoshop tutorial

leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
827
363
photoshop ni a very powerful image editor ukijua kuitumia. siku ya leo nataka niwaonyeshe nguvu za cloning tools ambazo ni very simple, lakini kwa matumizi mazuri, can do wonders. kama kawaida yangu, nitatumia CS3 kutoa tutorial yangu. sababu yangu ya kutumia CS3 ni simple. naamini kuwa kama unajifunza photoshop unatakiwa kuanza CS3. mtu yeyote anayetumia CS5 and above anatakiwa kuwa expert. my opinion anyway
tuanze basi.
cloning tool kama watumiaji wa photoshop waijuavyo ni tool ya kucopy and paste colors/ layers in a picture (cloning). mfano, nimetumia clone tool hapo chini kufanya copy za glass ya wine hizo mbili kutoka kwa picha tofauti


ila sasa, kuna tool nyingine inayoitwa patch tool ambayo inafanya kazi kama clone tool lakini inatumia akili (artificial intelligence) kuboresha kazi kwa kufananisha rangi (ngumu kueleza, nitatumia examples). ndani ya patch tool kuna tools tatu (ya nne kwa leo mwafrika haitumiki sana sana), unazipata zote kwa kuright click kwenye icon ya patch tool na nitazipitia zote as zina matumizi tofauti.

CS3 patch tool


CS5 patch tool



.ndani ya patch tool mna patch tool. hii tool ndo the ultimate tool ya kufuta, kuongeza na kubadilisha. kwa kutumia picha tutaona ukali wa patch tool.

kwenye hii picha hapa, tuna golf ball kwenye nyasi. kwa kutumia photoshop, nitaweka ball nyingine.


download hiyo picha, then ifungue kwa photoshop alafu chagua patch tool
hakikisha kuwa pale kwenye menu bar ya patch tool inasema destination (utaona kwanini hapo chini). chora mstari unaozunguka mpira wetu (isiwe imezidi sana nje ya mpira lakini sio lazima iwe perfect)


drag selection ya mpira chini na utapata mpira wa pili ambapo patch tool itafuananisha nyasi ili mpira usionekane umehamishwa.


picha ukisave itakuwa kama hivi


this time, kwa menu ya patch tool, chagua source, na urudie hatua ya kuzungusha mstari juu ya mpira.


drag selection yako na lo!, palipokuwa mpira patakuwa covered na nyasi.


picha ikiwa saved ni kama hivi


hivi basi, unaweza tumia patch tool kufanyia copying na kufuta vitu bila kuogopa kuhusu background kwasababu patch tool inafanya kitu kinaitwa color sample na kurekebisha unachobadilisha kufanania na unapo paste.

unaweza fikiri kuwa hii tool inafaa kufutia pimples (chunusi) na ni kweli lakini kuna tool bora zaidi yake inayoitwa spot healing tool.

nitatumia picha ya huyu mdada aliye na chunusi



kama jina linavyosema, hii tool inatumika kuponya sehemu tofauti (sana sana inatumika kutoa madoa doa kwenye uso).
unachofanya baada ya kuchagua spot healing tool ni kupaka rangi (kama brush vile) kwenye sehemu ya shida, na photoshop inamalizia.




mwisho wa siku..

tofauti kubwa kati ya hii na patch tool ni kwamba patch tool inapendeza kutumika kwa objects kubwa na spot healing tool ni ya small spots.

tool ya mwisho ni healing tool, ila usingizi unasumbua :biggrin:
nitakachosema kuhusu healing tool ni kuwa inafanya kazi kama cloning tool ila tu inatumia intelligence kuclone (example kesho)

hizo hapo ni basics za kufanya cloning ukitumia vibaya watu watajua. mazoezi na utakuwa mkali wa kuficha chunusi na kadhalika. professionals kama leh, Young Master, @C6, chief-mkwawa, kadoda11 na wengine wengi, wanatumia cloning palette kufanya clone zao ziwe tofauti na picha original, ila hiyo ni tutorial ya siku nyingine :A S tongue:



mdogo wangu ana chunusi lakini Endangered haji akjua mpaka nilambe hiyo mahari :A S tongue:

 
Last edited by a moderator:
good tutorial leh nimeipenda
 
Last edited by a moderator:
kaka nashukuru sana kwa kutupa moyo sisi tuliokuwa tunaona ni ngumu kujifunza photoshop hasa hizi kama cs3 na kuendelea...unaweza kutupa link tutakayoweza kupata haya maujanja tujifunze zaidi?..itakuwa njema kama unajua link ya video tutorial iliyo simple na ya kueleweka kwa begginers..
shukrani sana kwa hili somo la leo
 
C6 & chief-mkwawa, nimetengeneza avatar yangu mpya na nilikuwa nafikiri nifanye tutorial nayo. nataka ushauri kama niweke au la coz ilikuwa complicated mno kutengeneza (nimetumia bout two hours and ujuzi wa hatari :biggrin na beginner hataweza kwa urahisi ila it would be good for . so nataka nijue kama itakuwa worth it kuifanya tutorial as itanikarimu alot of time kupiga screenshots, upload images and write detailed instructions (sioni nikifanya in less than six hours)

 
Last edited by a moderator:
safi sana leh naomba tu ujitahidi kufanya hizo tutorial.
 
Last edited by a moderator:
leh, tupe iyo tutorial, mi niko tight kidogo, mayb mpaka weekend, naweza waletea smthn useful to all
 
Last edited by a moderator:

Two of the best psdtut sites:
Tutsplus

PSDFAN


Actually, Tutsplus ni network kubwa, hiyo link points to photoshop tutorials, lakini ukitaka tutorials zingine under tutsplus just google "tutsplus"

good luck!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ