Another best sci fi tv series

Another best sci fi tv series

Sirbuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
103
Reaction score
33
Kwa wale ambao wanapenda TV series zenye a lot of special effects, you might wanna see Marvel's Agents of S.H.I.E.L.D.
[FONT=arial, sans-serif]Episode ya kwanza tayari ipo online. Kama una net ya kasi waweza iangalia Watch TV. Watch Movies. | Online | Free | Hulu (LAZIMA UWE USA - KWA WENYE VPN BADILI SERVER NA UWEKE ZILE ZA USA)
au unaweza kudownload kutoka torrent sites kama kickass.to or thepiratebay.se.
Nimeenjoy episode nzima, nanyi pia mnaweza share views zenu wakuu.
[/FONT]
 
Chief Sirbuni naogopa kudownload series ambazo hazijawa complete yalishanitokea kwenye kyle xy na v zote ziliishia pazuri afu wakasema wamerun out of budget show zikawa cancelled
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale ambao wanapenda TV series zenye a lot of special effects, you might wanna see Marvel's Agents of S.H.I.E.L.D.
[FONT=arial, sans-serif]Episode ya kwanza tayari ipo online. Kama una net ya kasi waweza iangalia Watch TV. Watch Movies. | Online | Free | Hulu (LAZIMA UWE USA - KWA WENYE VPN BADILI SERVER NA UWEKE ZILE ZA USA)
au unaweza kudownload kutoka torrent sites kama kickass.to or thepiratebay.se.
Nimeenjoy episode nzima, nanyi pia mnaweza share views zenu wakuu.
[/FONT]

vp ushaangalia؟‎ I'm gonna get this pilot episode today. Ila Agent Phil alikufa in the avengers so sijui wametengeneza based on what universe( either after or before the avengers), maana naona kama ndo lead character. Trailers looks good though
 
Wamemrudisha kama vile hakufa ila alikuwa badly injured kiasi cha kusema amekufa.
 
Back
Top Bottom