Mama Prof. naona kaanza kuchanganyikiwa sasa. Binafsi niliamini tangia mwanzoni kuwa heshima yake ilikuwa kubwa kuzidi uwaziri katika serikali ya ccm na siku moja wote tutaliona hili.
Wakati anawashawishi wapiga kuwa alikuwa neutral ilikuwa mara chache kumkuta amevalia manguo haya ya kijani na njano lakini sasa anadhani ndio wataweza kumuokoa baada ya kujiunga na wala rushwa!
Sasa anaongelea alivyopewa pesa, je hiyo ni miongoni mwa ahadi alizotoa illi achaguliwe!?