Akijibu swali aliloulizwa, Waziri Anna Tibaijuka amesema fedha alizopokea ni za ruzuku kwa ajili ya shule na hazihusiani na zile za Escrow. Mtazame hapa
Hizi siasa hizi zinaharibu akili za watu, yaan leo Profesa Tibaijuka anachukua maelezo ya standard 7 Lusinde kama ndio reference kwenye report iliyoandikwa kitaalamu?kaazi kwelikweli..
Hana cha kujibu ndo maana anabwabwaja. Hela zilitoka kwenye account yake zikaenda Bank M, hazikugusa kwenye account ya shule. Cha ajabu bodi ya shule inadai walikubaliana zilipe mkopo wa shule hapo Bank M.