Anna Mghwira ampigia kampeni Lowassa

Anna Mghwira ampigia kampeni Lowassa

A man of God

Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
65
Reaction score
14
Nimeona ITV, mama Ana Nghwira anasema kuwa watu wasifanye makosa tena ya kuipigia kura CCM. Amedai kuwa kwa sasa wanapaswa kuangalia zaidi vyama vya upinzani kuliko kuipigia CCM kwani katibu wake mkuu amethibitisha wazi kuwa CCm imeoza.

Katika kipindi hiki, ni vyama viwili tu vyenye nguvu CDM na CCM ambapo katika upinzani ni Chadema na hivyo kitendo cha mama kuomba watu waangalie upinzani, ni kupigia kampeni CDM.
 
Mama katepeta kaamua kumpigia kampeni EL
 
Hapana mkuu rekebisha tittle hajasema chagua Lowassa ila kasema wananchi wachague vyama vya upinzani kwa kusikiliza sera zao then wafanye maamuzi sahihi.

Vyama vya upinzani vipi vingi vilivyosimamisha wagombea urais kama Chauma, Adc, Act wazalendo au CCk. So sio lowassa pekee ndo anawakilisha upinzani.
 
Ili mradi tu ubishe hata kama jambo liko wazi.Katika hivyo vyama ulivyo taja nitajie kimoja ambacho kimeweza kufanya kampeni hata mkoa mmoja.
 
Nimeona ITV mama Ana Nghwira anasema kuwa watu wasifanye makosa tena ya kuipigia kura Ccm.
Amedai kuwa kwa sasa wanapaswa kuangalia zaidi vyama vya upinzani kuliko kuipigia CCM kwani katibu wake mkuu amethibitisha wazi kuwa CCm imeoza.
Katika kipindi hiki vyama viwili tu vyenye nguvu CDM na CCM ambapo ktk upinzani ni Chadema na hivyo kitendo cha mama kuomba watu waangalie upinzani ni kupigia kampeni CDM
Haishangazi, ilisemwa toka awali kwamba ACT inafadhiliwa na lowasa.
 
Baada ya hali ya kampeni kuwa ngumu na matumaini ya ushindi saa 4 asbh kuyeyuka sasa mnaanza kuitamani ACT ambayo mwanzo mliitukana sana ha ha ha.
 
dalili mojawapo ya kansa ya akili.

Zimeyeyuka vip??????,au unaandika kitakachokufurahisha tu;-)wanaume wapo mlangoni kwako kuja kukulipia mahali kwa ajiri ya ndoa tarehe 25.baba yako keshakubali.
 
Lugha zako za mbwembwe hazisaidii kitu.
Na hii mada ya kiongo hakuna mahali huyo mama kampigia kampeni Lowassa zaidi ya kumwita fisadi na mwanaccm.
Hata post ya kwanza kwenye hii thread tofauti na title yake kabisaa
 
Hapana mkuu rekebisha tittle hajasema chagua Lowassa ila kasema wananchi wachague vyama vya upinzani kwa kusikiliza sera zao then wafanye maamuzi sahihi.

Vyama vya upinzani vipi vingi vilivyosimamisha wagombea urais kama Chauma, Adc, Act wazalendo au CCk. So sio lowassa pekee ndo anawakilisha upinzani.

kwa akili zako hao Adc, Act, Chauma kuna mwenye mwelekeo wa kuchua Urais?
 
Baada ya hali ya kampeni kuwa ngumu na matumaini ya ushindi saa 4 asbh kuyeyuka sasa mnaanza kuitamani ACT ambayo mwanzo mliitukana sana ha ha ha.

Tuhakikishe chadema inakufa mwaka huu na kuzikwa rasmi. Wana ccm na wapenda haki tuwaase mashabiki mihemko waangalie waadilifu na waachane na wapiga dili kina sumaye. Huwezi kuleta Maendeleo kama nchi imeja rushwa, lini fisadi mkuu akapambana na rushwa?
 
Siyo ife CHADEMA tu bali hata vyama vingine vya upinzani vife turudi kwenye mfumo wa chama kimoja. Bunge litakua 100% la CCM, mijadala Bungeni itakua inajadiliwa na wabunge wa CCM tu na maendeleo ya nchi yatasonga kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Miswada ikipelekwa Bungeni hakuna wa kuleta kiwingu, inapitishwa kiulaini tu. Hakutakua na habari ya KATIBA MPYA tena maana wa kuleta huo usumbufu wa kudai katiba mpya atakua hayupo, tutaendelea kuweka viraka hii iliyopo ya mwaka 1977 hasa ukichukulia ilipatikana kipindi cha chama kimoja. Ikibaki CCM pekee itapendeza sana mkuu!!!
 
Back
Top Bottom